Thursday 9 June 2011

KARIBU...CHRISTIAN FELLOWSHIP!!!

CHRIST FOR ALL...
Wapendwa karibuni kwenye blog ya Christian fellowship ambapo mtaweza kupata mambo mbalimbali na mafundisho kuhusu Kristo. Ni fellowship ya wanafunzi wote wa Kikristo, yenye malengo ya kuwaunganisha Wakristo wote, kukuza vipaji/vipawa vya vijana na kufanyika suluhisho la matatizo mbalimbali ya jamii yetu kupitia uwezo tuliopewa na Mungu. Mengi zaidi yatakujia hivi karibuni...
KARIBU SANA!!!!!

No comments:

Post a Comment