Saturday 2 March 2013

ILIVYOKUWA SOLYA KUTOKA 17 - 24 FEBRUARI 2013

Bwana Yesu Asifiwe!! Majeshi ya Bwana, hivi ndivyo hali ilivyokuwa kule kijiji cha Solya na viunga vyake pamoja na vijiji vya jirani kama vile Kilimatinde na Sukamahela. Tunamshukuru Jehovah aliyedhihirika na nguvu zake, tumeuona ukuu na uweza wake! Utukufu wote tunampa YEYE, hatugusi hata chembe kwani si kwa uweza wetu, bali kwa mkono wake wenye nguvu yote yaliyofanyika yamefanyika!
Hizi ni baadhi ya picha za matukio mbalimbali hasa ya uwanjani kwenye mkutano, kwenye viwanja vya ofisi ya CCM - Solya. Picha na matukio mengine pamoja na habari kamili mtaleltewa hivi karibuni. Mtuwie radhi kwa kuchelewa kuyapeperusha, ni kutokana na sababu ya mambo kadhaa ambayo hayakuwekwa vizuri mapema, lakini usihofu!! Mungu akubarikini mno.


























No comments:

Post a Comment