Wednesday 10 April 2013

HATIMAYE CHRISTIAN FELLOWSHIP SOCIAL SCIENCES YAPATA VIONGOZI

Tunamshukuru Mungu kwani Christian Fellowship social sciences hatimaye imepata viongozi wapya kuiongoza kwa mwaka 2013/2014. Viongozi hao ni Mwenyekiti Esau Nsyengula, Makamu Mwenyekiti Beatrice Manongi, Katibu Adela Masebo, Katibu msadizi Ibrahim Mganga na Mhazini Theresia Adiel. Chini ni baadhi ya picha katika tukio la uchaguzi lililofanyika Social Sciences LR4 tarehe 10/04/2013. Ahsante kwa kaka Greyson Emmanuel kutoka USCF aliyesimamia uchaguzi huo pamoja na Mwenyekiti wa kamati  ya uchaguzi Yesaya Jackson na Katibu wa kamati dada Christina na mjumbe wao Alexander Mtweve
Kutoka kushoto: Mhazini Theresia Adiel, Katibu msaidizi Ibrahim Mganga, Makamu mwenyekti Beatrice Manongi na Mwenyekiti Esau Nsyengula


Timu nzima ya uchaguzi na viongozi wapya na wastaafu



Mwenyekiti Esau na makamu wake Beatrice
Timu mpya ya Christian Fellowship Social Sciences Udom, Adela (katibu hayupo pichani)


No comments:

Post a Comment