Showing posts with label COED. Show all posts
Showing posts with label COED. Show all posts

Tuesday, 11 June 2013

ILIVYOKUWA MWISHONI MWA WIKI KUFUNGA SEMISTA UDOM

Matukio katika picha ya vikundi mbalimbali vikimshukuru Mungu kwa yote aliyoyafanya kwa kipindi cha semista ya pili mwaka wa masomo 2012/2013. Ni siku ya Ijumaa tar.07/06/2013 College of Education













Monday, 20 May 2013

JUMAPILI HII KATIKA UZINDUZI WA ALBAMU YA VIDEO CHRISTIAN FELLOWSHIP EDUCATION


Angalia tu hizo picha za matukio jinsi ilivyokuwa. Shukrani ziwaendee wote walioshiriki kulifanya tukio hili kuwa la mafanikio! Mungu awabariki sana.

Timu ya Praise and Worship kutoka CF-Education

The MC

Mwenyekiti Valency Kisuma

Baadhi ya Watumbuizaji waalikwa. Jina muulize MC...!!

Baadhi ya Watumbuizaji waalikwa. Jina muulize MC...!!

Baadhi ya Watumbuizaji waalikwa. Jina muulize MC...!!


Waalikwa na washuhudiaji na wapambe na wasindikizaji!
MamaDee Doreen Lifard kazini na vijana wetu Humphrey akiwa na gita na Gideon akipapasa kinanda

Mashuhuda.
Mungu awabariki sana mliofanikisha tukio hili