Friday 8 June 2012

CHRISTIAN FELLOWSHIP FAREWELL CEREMONY

Kesho tarehe 09/06/2012 Christian Fellowship itakuwa na sherehe ya kuwaaga wahitimu wa masommo mwaka 2011/2012 katika ukumbi wa Taji Cafeteria Social sciences. Tafadhali fika na waalike na wadau wengine pia. Mungu awabariki. Picha na matukio mbalimbali yatakayoendela katika sherehe hiyo mtayapata hapahapa katika Blog yetu. Ahsante

No comments:

Post a Comment