Thursday 14 June 2012

UZINDUZI WA VYOMBO VYA MUZIKI SOCIAL SCIENCES - MATUKIO KATIKA PICHA (SS LECTURE ROOM 7)









Matukio katika picha siku ya Alhamisi 14/06/2012 kwenye uzinduzi wa vyombo vya muziki vya Christian Fellowship Social Sciences. Waalikwa ni pamoja na Praise and Worship Teams kutoka  Christian Fellowship Informatics na College of Education pamoja na Mass Choir iliyoongozwa na Brother Aaron. Sifa na Utukufu ni kwa Jehova Mungu kwa hatua tuliyoifikia, na ni imani yetu atatufanikisha hata zaidi kwa ajili ya Utukufu wake.
Kwa picha zaidi bofya link hapa chini
https://picasaweb.google.com/102210731158870420867/UZINDUZIWAVYOMBOVYAMUZIKISOCIALSCIENCES?authkey=Gv1sRgCNmr0urgnoLQpwE


No comments:

Post a Comment