Thursday 28 February 2013

lifarddoreen: IJUE FIRST Q...

lifarddoreen: IJUE FIRST Q...: Kuna wengi wanafanya mengi kwa ajili ya ufalme wa Mungu. Tumeona waimbaji, wahubiri na wengine wengi lakini hii ni ya kipekee na kimsingi m...

CAmPuS eXperiEncE: NI KWANINI WANAFUNZI WANAKOSA NAFASI ZA KUFANYA FI...

CAmPuS eXperiEncE: NI KWANINI WANAFUNZI WANAKOSA NAFASI ZA KUFANYA FI...: HELLO WATANZANIA.HABARI ZENU!   NI UTARATIBU WA KAWAIDA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU KUPATA MUDA WA KUFANYA MAZOEZI KATIKA OFISI MBALIMBAL...

CAmPuS eXperiEncE: TOP UNIVERSITIES OF THE WORLD FOR 2012-13,Part IV ...

CAmPuS eXperiEncE: TOP UNIVERSITIES OF THE WORLD FOR 2012-13,Part IV ...: Rank -School -Country -Overall Score #301 École des Ponts, ParisTech France 38.9 #302 University of Eastern Finland Finland 3...

CAmPuS eXperiEncE: A LIST TOP 100 UNIVERSITIES OF AFRICA!!!

CAmPuS eXperiEncE: A LIST TOP 100 UNIVERSITIES OF AFRICA!!!: World Rank-NameCountry-Rank-Country 317  University of Cape Town               1           South Africa 474 University of Pretoria         ...

CAmPuS eXperiEncE: TOP UNIVERSITIES OF THE WORLD FOR 2012-13,Part III...

CAmPuS eXperiEncE: TOP UNIVERSITIES OF THE WORLD FOR 2012-13,Part III...: Rank School -Country -Overall Score #201 Chulalongkorn University Thailand 49.1 #201 Universität Frankfurt am Main Germany 4...

CAmPuS eXperiEncE: A LIST OF UNIVERSITIES OF TANZANIA!!!

CAmPuS eXperiEncE: A LIST OF UNIVERSITIES OF TANZANIA!!!: 1.Ardhi University, established in 2007 2.Hubert Kairuki Memorial University (HKMU), established 1997 3.International Medical and Techno...

CAmPuS eXperiEncE: TOP UNIVERSITIES OF THE WORLD FOR 2012-13,Part II(...

CAmPuS eXperiEncE: TOP UNIVERSITIES OF THE WORLD FOR 2012-13,Part II(...: Rank School -Country -Overall Score #101 Pennsylvania State University (Penn State) United States 65.7 #102 University of Adela...

CAmPuS eXperiEncE: UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM,THE OLDEST UNIVERSITY ...

CAmPuS eXperiEncE: UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM,THE OLDEST UNIVERSITY ...: The University of Dar es Salaam is located in Dar es Salaam, Tanzania's largest city and former capital. The university was formed in 19...

CAmPuS eXperiEncE: HARVARD UNIVESITY,THE 1st BEST OLDEST PRESITIGIOUS...

CAmPuS eXperiEncE: HARVARD UNIVESITY,THE 1st BEST OLDEST PRESITIGIOUS...: MAY BE YOU KNOW,BUT STAY INFORMED BEST!! Seal of Harvard University Latin: Universitas Harvardiana Harvard University is an American pr...

Saturday 2 February 2013

ISIKUPITE - By Preacher Regan Daud


MHUBIRI 3:4A NA C yaani wakati wa kulia na wakati wa kuomboleza, huu si wakatu mtu angependa kuufikia naandika hapa kwasababu katika wwakati huu watu wamepata shida sana na kumwacha MUNGU na wngine kudhubutu kusema MUNGU hayupo na kugeukia miungu yao. swali ni je unatambua uko wakati gani na wakati huo wa kulia ulipofika ulifanyaje/utafanyaje? uliujua na ulimtafakari nani? haya ni maswali ya msingi sana na hasa swali la je wakati wa kulia ukifika utautambua? watu wengine wanafikiria ukiokoka wakati huu huufikii ila nataka nikwambia kukaa sawa na MUNGU wako katika wakati huu ndo wakati kama usipokaa vizuri shetani atakupa shida! n atakuondoa kwenye uwepo wa MUNGU na kuchukua kibali chako. wakati YESU anafundisha anasema sikuja kuleta amani bali mtu kumfarakanisha na ndugu yake. hii inamaana mwanzo wa kuokoka ni mwanzo wa kuteseka lakini mateso matakatifu ila kama Daniel alivyosema kwamba aliadhimu moyoni mwake na wewe inakupasa kuadhimu sasa.
NDUGU yangu wakati huu ni wakati mbaya sana ambao umejaa machungu, huzuni, maumivu, na mambo yote uyajuayo mabaya lakini unapaswa uyapitie hapo napo MUNGU anakupitisha kwa utukufu wake. mojawapo ya mafundisho ya MUNGU kukupitisha huko anataka wewe umtafakari yeye sawasawa na uchukue hatua kwa ajili ya utukufu wake.
ukitambua kwamba uko kwenye wakati huo husimwache MUNGU wako ni wakati anataka uwe karibu naye zaidi. mtafakari AYUBU. husimwache BWANA MUNGU WAKO . Hebu mnene kwa ujasili. alafu utaona mkono wake. UBARIKIWE.
From: https://www.facebook.com/regan.daud

AIDHA UMEAJIRIWA AU UNATARAJIA KUAJIRIWA SOMA. By Victorleus Msumanje


A manager-
Kitabu Kimoja Kilisema "alivyo mchungaji ndivyo walivyo na Kondoo wake" Nauamini sana Huu Msemo.
If you are the employee- angalia sana Boss wako anaamini katika nini mostly in a course of time mtajikuta all your actions are directed to what he/she bilieves, kwa Employees mnaojifanya mna maono yenu ambayo hayafanani na mtazamo wa Boss kila siku utaishia kuwa frustrated- and you will not grow not because you are not potential-there is the potential blocker that you cant by-pass.
Inakuwaje kama maono uliyonayo yangepata sehemu nzuri ambapo yangepata nafasi ya kukua-ungekuwa so happy na kwa muda mfupi ungekuwa so far.

Sio tu kwa Potential people- na kwa wale ambao ndo kwanza unatafuta mentor akusaidie upate msimamo- Unakutana na Boss ambae Mtazamo wake wa kioungozi-ukiudaka na kutembea nao unaua potential zako zote- unabaki mtu wa ndio boss na kuambiwa cha kufanya kila siku, sio kwamba huoni, ila ni kwa sababu upande aliokupeleka huwezi kuona lolote-nikuhakikishie hapo utakuwa unasubiri demotion siku moja.

Managers-We bilieve kwenye mtazamo bora wa Kuongoza watu-ila ifike sehemu tuache Umanager pembeni tutafute sana kuwa right mentors of our people tuwasaidie kwenye ndoto zao na vipaji vyao kuliko kuwalazimisha wafuate tunachoamini,
tutumie talents zao kuwaweka kwenye nafasi na kazi zitakazowasaidia kukua at the same time kuleta manifaa makubwa kwenye Bussiness.

What can I say kwa employee mwenzangu..

Watch out- Ukiona vipi CHAPA MWENDO tafuta mahali pa kukusaidia UKUE.

From: https://www.facebook.com/msumanje

CAmPuS eXperiEncE: HIVI NDIVYO "USTAWI EXPLO...TAKE +ACTION,ACHIEVE Y...

CAmPuS eXperiEncE: HIVI NDIVYO "USTAWI EXPLO...TAKE +ACTION,ACHIEVE Y...: HUU ULIKUWA USIKU WA KIPEKEE NDANI YA CHUO CHA USTAWI WA JAMII,TAR.25/01/2013 AMBAPO WANAFUNZI KUTOKA CHUONI HAPO NA KUTOKA ARDHI,UDSM,HKMU ...