Sunday 5 October 2014

ULIMWENGU WA GIZA

Uchawi ni kazi inayofanyika kwa usiri mkubwa sana, endapo mchawi atatoa siri za wachawi wenzake adhabu yake huwa ni kifo. Ni vigumu sana kumtambua mchawi, licha ya baadhi ya makabila kuwashuku akina mama wazee wenye macho mekundu kuwa ndio wachawi, lakini ukweli siyo wachawi. Madhalani mkeo/mumeo anaweza akawa mchawi wa kutupwa lakini usiweze kumtambua kabisa. Kawaida matayarisho ya kwenda kuwanga huanza jioni ya saa kumi na mbili hadi saa mbili usiku, kwa kuchoma ubani na kuomba dua, wachawi wanayo roho ya uchawi ndani yao, ambayo ikifika saa sita usiku, hiyo roho ya uchawi iliyo ndani yake humwamsha. Wachawi wanakuwa na madhabahu zao za kukutanikia usiku, kwa mfano wachawi wa Kariakoo wanayo madhabahu yao, wachawi wa Masaki wanayo madhabahu yao, Wachawi wa Mwananyamala madhabahu yao iko ndani ya hospitali ya Mwananyamala, ndiyo maana vitimbi ndani ya hospitali hiyo haviwezi kwisha bila ya kuivunja na kuisambaratisha hiyo madhabahu. Mchawi anapoamka usiku wa manane huenda kwenye madhabahu yao, na kila madhabahu ina mwenyekiti na katibu wa kuandika taarifa za kikao. Kazi ya kikao ni kupokea mashitaka kutoka kwa wajumbe, kuyajadili na kuyafanyia maamuzi. Kwa mfano, mchawi anaweza kuleta shitaka kuwa jirani yake XYZ kila siku wanakaanga nyama na samaki, watoto wake wanasoma shule nzuri, na wanaringa sana. Hilo ni shitaka tosha la kujadiliwa kwenye madhabahu za wachawi. Wachawi wakimaliza kumjadili ndungu XYZ, wanapanga adhabu ya kumwadabisha, adhabu inaweza kuwa, wamtupie mume jini afukuzwe kazi, au wampindishe mama miguu asiweze kutembea. Wakishachagua adhabu, huteua kamati ya utekelezaji ambayo, itahakikisha familia hiyo inaadhibiwa haraka iwezekanavyo. Idadi ya wajumbe inategemea ukubwa wa kazi, lakini mara nyingi huwa ni wachawi kati ya watatu hadi sita. Wachawi huanza kazi ya ulozi nyumbani kwako, kwa kawaida muda wa kufanya ulozi ni kuanzia saa sita usiku hadi saa tisa usiku, kama siku hiyo hawakufanikiwa kuingia hadi saa tisa usiku, shughuli huairishwa hadi siku inayofuata, roho ya uchawi waliyo nayo huwafanya wachawi kupenya kwenye ukuta, kwa kupitia kwenye kona ya chumba. Wachawi wakikuta mtuhumiwa ni mcha Mungu mzuri huwa wanashindwa kumkaribia kwani mwili wake huwa unawaka moto, wakikuta familia yote haishikiki, basi kikao hungeuza adhabu kwenda kwa mfanyakazi wa ndani, biashara yako, au kwa ndungu zako wa karibu. Wachawi wakikuta familia iko tupu, kazi ya ulozi huwa ni nyepesi sana, na matokeo yake huonekana mapema Majini ndio mtaji mkubwa wa wachawi/ waganga wa kishnzi katika kutimiza kazi zao za kishetani. Majini yanakuwa ndani ya mwili wa wachawi, pia wachawi wanaweza kufuga majini yao ndani ya mwili wa mtu mwingine bila mtu huyo kujijua, vipo viashiria vya wazi kabisa vinavyoonyesha kuwa ndugu/mtoto/rafiki/ mke/mume wamegeuzwa banda la kufungia majini. Kiumbe chochote chenye uhai, ili kipate kuishi ni lazima kipate chakula na maji, vinginevyo uhai wa hicho kiumbe huwa katika matatizo na hakiwezi kuishi. Wachawi wa nchi wakikufanya banda la kufugia majini, hulazimika kutafuta chakula cha kuwalishia majini yao kila siku. Chakula cha majini mara nyingi ni nyama za wanadamu na kinywaji chao ni damu za wanadamu, kawaida wachawi wote huwa wanamiliki misukule, misukule muda wao wa kuishi ukifika hufariki dunia, huko msukuleni hazikwi mtu, bali nyama yao ndiyo hutumika kulishia misukule walio hai na kulishia majini yao. Kama wachawi wamekufanya banda la kufugia majini yao, usiku huja nyumbani kwako na nyama za watu pamoja na damu, na unalishwa nyama hiyo kichawi bila wewe kutambua. Kama unashirikiana chumba kama mke na mume na ikifika usiku huwa unasikia mume/ mke anatafuna chakula kwa muda mrefu, na kitendo hicho kinajirudia mara kwa mara, ujue kuwa mwenzako analishwa chakula cha kichawi na wachawi. Ukiwasha taa huwezi kuwaona wala hicho chakula hutakiona, isipokuwa asubuhi, huyo mtu aliyelishwa chakula usiku anakuwa ameshiba kabisa na hawezi kula kifungua kinywa cha asubuhi, na mdomoni atasikia harufu ya nyama. Madhara yake baada ya muda ni mabaya sana, kwani haya majini husababisha mtu kupooza mwili mzima au upande wa mwili. Fanya uchunguzi kwa watu 50 waliopooza, utakuta watu 30 walikuwa wanatafuna vitu wasivyovijua usiku. Majini hayauzwi, isipokuwa unapoingia kwenye taaluma hii ya uchawi, ukimaliza mafunzo unapewa majini kama zana za kufanyia kazi, kumbuka kuwa kuna aina nyingi sana za majini na uwezo wao hutofautina sana. Kadri unavyomiliki majini ya kila fani ndivyo unavyokuwa maarufu katika fani hii ya ulozi. Picha Ya Wachawi walio kamatwa huko mkoani Mwanza baada ya ungo wao kudondoka. Shiriki 1 Hakuna maoni:

SUBIRA IPONYAYO NAFSI

Ipo siri kubwa ktk kusubiri hadi Bwana atakapokufungulia madilisha ya hitaji lako. Mimi nimejifunza kusubiri na nimeona matokeo yake kwa sehemu kubwa. FAIDA ZA KUSUBIRI 1: Kunakupa jibu sahihi ambalo si shotcut.... Jaman hata iman ndani yake kuna taraji tena ya kitu kiaichoonekana. JEHOVAH JIREH ,The lord will provide to you. Ukiomba kuwa na subira usitake kupokea muda huohuo. Kt ya silaha za mkristo ni IMANI(Efeso 6:16) kwan biblia inaaema ndio ngao yetu. 2)KUURITHI UFALME WA MUNGU .. .. Luka 21:19 "nanyi kwa subira yenu mtaiponya nafsi zenu" KTK ulimwengu huu pasipo subira,lazma uanguke dhambini maana utalazmisha kupata kitu pasna mpango wa MUNGU. 3)UTAKWENDA SAWA NA KUSIDI LA MUNGU Ndugu Mungu ana saa na majira yake ya kukupatia jibu lako na hii inakusudi na amekuangalia wewe yamkini akikupa utashindwa kumtumikia. Yamkin ni kijana unata kuoa lakini kila ukitafuta mke kabla ya ndoa anskukataa ujue kuna kusudi,subiri yupo wa kwako...mhubiri 3:1 USHUHUDA Kuna mama mmoja alikuwa mwalimu wa shule ya msingi.Awali mama huyu alikuwa mkristo wa mazoea. Lakini baada ya kuokoka Mungu akampa karama ya imani 1kornt 12:9 . Hapo ndipo Mungu aliporuhusu majaribu kwa mama huyu. Kwanza alianza kuumwa mguu kwa muda mrefu akipima tatzo halionekani. Ndugu wakamshauri amwache bwana aende kwa waganga wa kienyeji kama AYUBU. Akasema ikiwa MUNGU ameyaruhusu yanipate yatanitoka haya. Mungu akamponya baada ya mwaka. Jaribu hilo lilipomwacha, mama huyu akapata taarifa ya kuzimia zimia mwanae aliyekuwa anasoma kidato cha 5 IFUNDA. Alimwomba Mungu akajibu na sasa anaamani ya kidumu na kuutegemea uzima wa milele kwani mambo yote ni sawasawa. MWISHO TUTAVUNA SANA ROHONI NA MWILINI TUSIPO ZIMIA ROHO PRINTED & ISSUED BY KABELEGE JR

Saturday 4 October 2014

KARIBUNI TAFES UDOM

KARIBU TAFES UDOM MPENDWA MSOMAJI WA MAKALA HII FUPI NAPENDA KUKUKARIBISHA UDOM KATIKA FELLOWSHIP YA TAFES. FELLOWSHIP HII HUJJUMUISHA WANACHUO WOTE WALIOOKOKA KUTOKA MADHRHEBU MBALIMBALI WALIORIDHIA KUKAA KWA UMOJA KUMTANGAZA KRISTO YESU. UKIWA KATIKA FELLOWSHIP HII HAUTAKUWA JINSI ULIVY O MAA NA ULE UFUNUO ULIOFICHIKA JUU YA MAISHA YAKO UTAKUWA WAZI PIA TUTAMTANGAZA KRISTO KWA KILA MTU KWA PROGRAM IITWAYO OUTREACH MISSIO KATIKA SEHEMU MBALIMBALI KILA HUDUMA ILIYONDANI YAKO ITATUMIKA SHAMBANI MWA BWANA KUWALETA WATU KWA KRISTO YESU.FELLOSHI P HII INA MATAWI COLLEGE 4 ZA UDOM EDUCATION & NATURAL SCIENCE 0763180134/0717202065 SOCIAL SCIENCE AND HUMANITIES 0762890890/0789171684 INFORMATICS AND VIRTUE EDUCATION 0766333054 EARTH SCIENCE 0757186856 KARIBU TUMSIFU NA KUMWABUDU MUNGU

AMKA KIJANA

ELIMU ZAIDI...JUU YA UCHUMBA NA KIJANA...... a) usitumie ufundi wako kudanganya watoto wa watu kigezo cha kuwaoa..yakobo3:6 b)uchumba si majaribio Mith 18:24 c)usiharakishe ndoa chunguzana na huyo utakaye muoa Luka14:28-30 d)chagua mke wa iman yako coz wewe ni mwana wa Munf,si wa mataifa 1falme 11- e)uchumba si uzinzi jamani tuache kufuatisha namna ya dunia hii Mith 6:32.Mtu yeyote aziniye si kwamba hana akili tu bali hajui uzinzi huonda ufahamu By kabelege jr