Monday 24 November 2014

 Monday, 24 November 2014

FAIDA ZA KUSUBIRI

Ipo siri kubwa ktk kusubiri hadi Bwana atakapokufungulia madilisha ya hitaji lako. Mimi nimejifunza kusubiri na nimeona matokeo yake kwa sehemu kubwa.
 FAIDA ZA KUSUBIRI
 1: Kunakupa jibu sahihi ambalo si shotcut.... Jaman hata iman ndani yake kuna taraji tena ya kitu kiaichoonekana. JEHOVAH JIREH ,The lord will provide to you. Ukiomba kuwa na subira usitake kupokea muda huohuo. Kt ya silaha za mkristo ni IMANI(Efeso 6:16) kwan biblia inaaema ndio ngao yetu.
 2:KUURITHI UFALME WA MUNGU .. .. Luka 21:19 "nanyi kwa subira yenu mtaiponya nafsi zenu" KTK ulimwengu huu pasipo subira,lazma uanguke dhambini maana utalazmisha kupata kitu pasna mpango wa MUNGU. 
 3:UTAKWENDA SAWA NA KUSIDI LA MUNGU.... Ndugu Mungu ana saa na majira yake ya kukupatia jibu lako na hii inakusudi na amekuangalia wewe yamkini akikupa utashindwa kumtumikia. 
Yamkin ni kijana unata kuoa lakini kila ukitafuta mke kabla ya ndoa anskukataa ujue kuna kusudi,subiri yupo wa kwako...mhubiri 3:1
 USHUHUDA
 Kuna mama mmoja alikuwa mwalimu wa shule ya msingi.Awali mama huyu alikuwa mkristo wa mazoea. Lakini baada ya kuokoka Mungu akampa karama ya imani 1kornt 12:9 . Hapo ndipo Mungu aliporuhusu majaribu kwa mama huyu. Kwanza alianza kuumwa mguu kwa muda mrefu akipima tatzo halionekani. Ndugu wakamshauri amwache bwana aende kwa waganga wa kienyeji kama AYUBU. Akasema ikiwa MUNGU ameyaruhusu yanipate yatanitoka haya. Mungu akamponya baada ya mwaka. Jaribu hilo lilipomwacha, mama huyu akapata taarifa ya kuzimia zimia mwanae aliyekuwa anasoma kidato cha 5 IFUNDA. Alimwomba Mungu akajibu na sasa anaamani ya kidumu na kuutegemea uzima wa milele kwani mambo yote ni sawasawa
. MWISHO TUTAVUNA SANA ROHONI NA MWILINI TUSIPO ZIMIA ROHO
 PRINTED & ISSUED BY KABELEGE JR

No comments:

Post a Comment