Thursday 27 November 2014

MPANGO WA MUNGU KWA KIJANA

YA MUHIMU SANA HII USIIPITE BILA KUISOMA WENGI WASIKIE NENO HILI

hii status nimepata shida sana kuiapload....kila nikiiweka inagoma mara ikikubali yanatokea ya kutokea.....LAKINI NAIWEKA TENA SIACHI................

Unajua MUNGU ni wa pekee hakuna anayefanana nae AKILI ZAKE HEKIMA UFAHAMU WAKE kamwe hauchunguziki.......ni nani anaweza kuwa MSHAURI WA MUNGU??? HAKUNA maana gari haliwezi kumshauri aliyeliunda...............sasaaaa

MAISHA ya hapa dunia yana PROTOCAL/MFUMO ambao upo in hierachy order kuanzia chini mpaka juu.........BWANA MUNGU aliumba MBINGU na NCHI......kisha akaumba vyoote kama MWANZO  1 Inavoeleza baada ya kukamilisha uumbaji wa vyote ndipo MTU/ADAMU akaumbwa..........lakini BWANA akatengeneza BUSTANI nzuuuri ndani yake kulikuwa na mimea aina zote pia kulikuwa na MTO ambao uligawanyika sehemu 4 na sehemu moja ya mto ilijaa DHAHABU SAFI..........kisha BWANA akamtwaa ADAMU akamuweka ndani ya EDEN lakini hakumuweka akae tu AKAMPA KAZI.........Akapewa jembe tena la mkono sio trekta AILIME NA KUITUNZA EDEN.....Adam akaanza kazi ya kulima....ikawa BWANA akawa anaenda asubuhi na jion anaenda KUMSALIMIA na KUPIGA NAE STORY za hapa na pale.......sasa alipoenda jion na kumuona alivyochoka ndipo akaona SI VYEMA MTU HUYU AKAE PEKE YAKE ndipo hapo MWANAMKE(EVA/HAWA) AKALETWA KWA ADAMU...........huu ndiyo mfumo MUNGU aliuweka 
1. MUNGU
2.BUSTANI
3.MTO
4. KAZI~>DHAHABU
5.MKE/WIFE

tafsiri yake MWANAUME anatakiwa kwanza AMJUE MUNGU vya kutosha mbili apate ujuzi/means of production/MTO kisha BUSTANI(eneo la kazi) kisha afanye kazi itakayompa fedha/dhahabu ndipo baadae AOE/APATE MKE.........saasa WATU Wameona wana akili kuliko MUNGU wamegeuza mambo siku hizi mtoto ana miaka 14 yupo darasa la saba kishaanza MAHUSIANO na watoto wa kike aaaaaaaahhhh LAANA HII.............SEKONDARI ndiyo usiseme watoto wapo form two wameshazaa watoto  jamani.........MWANAFUNZI upo shule kwanza huna hata muda mzuri wa KUMTAFUTA MUNGU huna chanzo cha kipato huna kazi sasa MWANAMKE WA NINI hapo kama sio kutafuta kuongozwa na shetani.........labda hujui SHETANI AMEKUWA Mwamuzi wa maisha ya watu anachezesha maisha yao anaamua mpira upigwe kuelekea wapi TUNDA LA ROHO wema. fadhila. upole. unyenyekevu. kumcha MUNGU .ibada kwake mpira unatengwa ipigwe adhabu yaani hyo ni FAUL. OFFSIDE YELLOW CARD.....Haruhusu watu wayatende hayo. sheria zake ni UONGO. MASENGENYO.KIBURI.UCHAFU.MATUSI.WIZI. UZINZI NA UASHERATI.....hapo anakureward jamani WATU WENGI WANACHEZA MECHI HII SHETANI ANAYOIAMUA..........

Kuharibu protocal ya MUNGU kumeharibu watu yaani siku hizi MTU ANAFUNGA NDOA TAARI ANA WATOTO WA3 aaaaah hii ndoa gani hii yaani watoto ndo mamaids kwenye harusi ya wazazi wao LAANA HII........

WATOTO wanaozaliwa kabla ya NDOA ni WATOTO WALIOPATIKANA KWA UZINZI!!!!!!!! wooote......ni watoto wa uzinzi na uasherati ndiyo maana roho ya uzinzi imetanda ndani ya watu............PRINCIPLE YA BWANA IMEVUNJWA HAPA............Najua wengi sana hii inawahusu nikiwemo mimi.......lakini BWANA ANASEMA MTOTO HATABEBA DHAMBI YA BABA YAKE AU MAMA YAKE wala MZAZI hatabeba dhambi ya mwanae UNA NAFASI KAMA MTOTO YA KUTENGENEZA NA MUNGU ILI UTAKASWE kwa maana KWA YESU tumefanyika WANA WA MUNGU kazi yetu ni kujiconnect na hii NEEMA ILI TUWE WANA WA MUNGU KWELIKWELI WATAKATIFU KAMA BABA YETU ALIVYO MTAKATIFU.............Hii ni neema imekukuta hapo ulipo TATIZO WATU WANAJIFANYA KUPOTEZEA wakati wanajua kabisa........
 MAMBO YA MUNGU YANAYOJULIKANA yamekuwa DHAHIRI ndani yetu sote maana MUNGU AMETUDHIHIRISHIA na yale yasiyojulikana tangu kuumbwa kwa ulimwengu YANAFAHAMIKA  NA KUONEKANA kwa kazi zake YAANI UWEZA WA MUNGU WA MILELE NA UUNGU WAKE.........sasa hapo huna udhuru wala huna cha kujitetea MUABUDU MUNGU NA KUMSHUKURU KWA KUWA UNAMJUA TAYARI au upotee katika uzushi wako na MOYO WAKO ULIOJAA UJINGA na kutiwa giza na SHETANI..............JESUS CALLS U uliyerudi nyuma ktk WOKOVU RUDI ZIZINI nawe uliye nje bado INGIA SASA its ur time to make with JESUS maana HATA MATEKA HALALI WA SHETANI ANAWEZA KUOKOLEWA its only u to decide......MEDITATE IN THE WORD OF GOD DAY AND NIGHT and whatever ur doing shall PROSPER.........GOD BLESS YOU

says~ANSEL@1991~
~CAG-PCC SEGEREA~
with acknowlegment to 
pastor CHRISS from KENYA
prophet T.P JOSHUA
pastor JENIPHER

No comments:

Post a Comment